60. Du´aa ya kuyatembelea makaburi

  Download

165-

السَّلامُ عَلَـيْكُمْ أَهْلَ الدِّيارِ مِنَ المؤْمِنيـنَ وَالْمُسْلِمينَ، وَإِنّا إِنْ شاءَ اللهُ بِكُـمْ لاحِقُـونَ، [وَيَرْحَمُ اللَّهُ الْمُسْتَقْدِمِينَ مِنَّا وَالْمُسْتَأْخِرِينَ] أَسْـاَلُ اللهَ لَنَـا وَلَكُـمْ العَـافِيَةَ

”Amani iwe juu yenu, watu wa nyumba za waumini na waislamu; nasi – atakapo Allaah tutakutana nanyi [na Allaah awarehemu waliotangulia kati yetu na wataokuja baadaye]. Namuomba Allaah atupe sisi nanyi afya.”[1]

[1] Muslim (02/671) na Ibn Maajah (1/494) na tamko ni lake kutoka kwa Buraydah (Radhiya Allaahu ´anh). Yaliyo katika mabano ni Hadiyth ya ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ilioko kwa Muslim (02/671).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020