Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

93 – Tunawaamini waandishi watukufu. Allaah amewafanya ni wenye kutuhifadhi.

94 – Tunawaamini Malaika wa mauti (ملك الموت), ambaye amepewa kazi ya kuzitoa roho za walimwengu.

MAELEZO

Ameitwa namna hii ndani ya Qur-aan. Ama kumwita israaiyl, kama ilivyoenea kwa watu, ni jambo halina msingi na hilo limechukuliwa kutoka kwa wana wa israaiyl.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 84
  • Imechapishwa: 09/10/2024