Swali: Je, zipo alama za kujua usiku wa Qadar?

Jibu: Usiku wa Qadar hauna alama. Lakini hata hivyo imepokelewa kutoka kwa baadhi ya Salaf kwamba siku ya kufuata jua linakuwa halina miale ya kuchoma. Haya ndio sahihi zaidi ya yaliyosemwa. Mbali na hilo hakuna maandiko sahihi yaliyopokelewa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 45
  • Imechapishwa: 02/04/2022