141 – Abu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Jibriyl alimjia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akasema: “Ee Muhammad! Unahisi maumivu?”Akasema: “Ndio.” Akasema:
بِاسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ، مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ، مِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْ عَيْنِ حَاسِد، اللَّهُ يَشْفِيكَ بِاسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ
”Kwa Jina la Allaah, nakusomea matabano, kutokana na kila jambo linalokudhuru, kutokana na kila nafsi au jicho la hasidi, Allaah akuponye, kwa Jina la Allaah, nakusomea matabano.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Katika Hadiyth hizi kuna uwekwaji Shari´ah wa matabano yanayokubalika katika Shari´ah na kwamba ni miongoni mwa sababu za ponyo. Kwa hiyo inapendeza kwa mtu kujifanyia matabano yeye mwenyewe na awafanyia wengine kwa du´aa hizi zilipokelewa na akariri du´aa na matabano.
[1] Muslim (2186).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 134
- Imechapishwa: 12/11/2025
141 – Abu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Jibriyl alimjia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akasema: “Ee Muhammad! Unahisi maumivu?”Akasema: “Ndio.” Akasema:
بِاسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ، مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيكَ، مِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْ عَيْنِ حَاسِد، اللَّهُ يَشْفِيكَ بِاسْمِ اللَّهِ أَرْقِيكَ
”Kwa Jina la Allaah, nakusomea matabano, kutokana na kila jambo linalokudhuru, kutokana na kila nafsi au jicho la hasidi, Allaah akuponye, kwa Jina la Allaah, nakusomea matabano.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Katika Hadiyth hizi kuna uwekwaji Shari´ah wa matabano yanayokubalika katika Shari´ah na kwamba ni miongoni mwa sababu za ponyo. Kwa hiyo inapendeza kwa mtu kujifanyia matabano yeye mwenyewe na awafanyia wengine kwa du´aa hizi zilipokelewa na akariri du´aa na matabano.
[1] Muslim (2186).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 134
Imechapishwa: 12/11/2025
https://firqatunnajia.com/56-duaa-wakati-wa-kuhisi-maumivu-maeneo-fulani-mwilini-iv/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket