52 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
”Naapa kwa Allaah nachelea endapo ningelitamani kumuua basi ningeuliwa. Lakini anajua, kutokea juu ya ´Arshi Yake, ya kwamba mimi sikutamani kumuua.”[1]
Bi maana ´Uthmaan.
[1] ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 27, ya ad-Daarimiy.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 104
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
52 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
”Naapa kwa Allaah nachelea endapo ningelitamani kumuua basi ningeuliwa. Lakini anajua, kutokea juu ya ´Arshi Yake, ya kwamba mimi sikutamani kumuua.”[1]
Bi maana ´Uthmaan.
[1] ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 27, ya ad-Daarimiy.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 104
Imechapishwa: 24/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/55-aaishah-hakutamani-kumuua-uthmaan/