54. Kila ijumaa Allaah atajionyesha kwa watu wa Peponi

51 – Ibn Mas´uud amesema:

”Allaah (Ta´ala) hujidhihirisha kwa wakazi wa Pepo Yake kila siku ya ijumaa kwenye matuta ya mchanga mweupe. Hivyo wakapata furaha ambayo hawajawahi kuona mfano wake. Ukaribu wataokuwa nao Kwake ni kwa mujibu wa uharakiaji wao wa swalah za ijumaa.”

Ameipokea Ibn Battwah katika ”al-Ibaanah al-Kubraa” kwa cheni ya wapokezi nzuri.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 104
  • Imechapishwa: 24/06/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy