Swali 54: Ambaye amekuja kuchelewa akijiunga na imamu akaswali pamoja naye kisha ikambainikia kuwa imamu ameswali Rak´ah tano – je, ahesabu hiyo Rak´ah iliyoongezwa aliyoiswali pamoja na imamu kwa njia ya kwamba aswali Rak´ah mbili peke yake au asiizingatie na badala yake aswali Rak´ah tatu?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba hatoihesabu. Kwa sababu haina malengo katika hukumu ya ki-Shari´ah. Kilicho cha lazima ni kutomfuata imamu kwa ambaye atatambua kuwa imezidishwa. Ni lazima kwa ambaye amekuja amechelewa asiifuate. Huyu mkusudiwa analazimika kulipa Rak´ah tatu kwa sababu ukweli wa mambo ni kwamba hakuwahi isipokuwa Rak´ah moja peke yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 59
- Imechapishwa: 06/09/2022
Swali 54: Ambaye amekuja kuchelewa akijiunga na imamu akaswali pamoja naye kisha ikambainikia kuwa imamu ameswali Rak´ah tano – je, ahesabu hiyo Rak´ah iliyoongezwa aliyoiswali pamoja na imamu kwa njia ya kwamba aswali Rak´ah mbili peke yake au asiizingatie na badala yake aswali Rak´ah tatu?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba hatoihesabu. Kwa sababu haina malengo katika hukumu ya ki-Shari´ah. Kilicho cha lazima ni kutomfuata imamu kwa ambaye atatambua kuwa imezidishwa. Ni lazima kwa ambaye amekuja amechelewa asiifuate. Huyu mkusudiwa analazimika kulipa Rak´ah tatu kwa sababu ukweli wa mambo ni kwamba hakuwahi isipokuwa Rak´ah moja peke yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 59
Imechapishwa: 06/09/2022
https://firqatunnajia.com/54-hesabu-iliyozidishwa-na-imamu-kwa-ambaye-amekuja-kuchelewa/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket