209 – Abu Bakr ametukhabarisha: Ibn Numayr ametukhabarisha: Abaan bin Ishaaq ametukhabarisha, kutoka kwa as-Swabbaah bin Muhammad, kutoka kwa Murrah al-Hamadaaniy, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) amezigawanya baina yenu tabia zenu kama vile amegawanya baina yenu riziki zenu. Allaah humpa dunia anayempenda na asiyempenda, lakini hampi dini isipokuwa anayempenda. Hivyo basi, anyempa dini basi amempenda.”[1]
[1] Ahmad (3663). Dhaifu kwa mujibu wa Ahmad Shaakir na dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (1894).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 54
- Imechapishwa: 16/07/2025
209 – Abu Bakr ametukhabarisha: Ibn Numayr ametukhabarisha: Abaan bin Ishaaq ametukhabarisha, kutoka kwa as-Swabbaah bin Muhammad, kutoka kwa Murrah al-Hamadaaniy, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) amezigawanya baina yenu tabia zenu kama vile amegawanya baina yenu riziki zenu. Allaah humpa dunia anayempenda na asiyempenda, lakini hampi dini isipokuwa anayempenda. Hivyo basi, anyempa dini basi amempenda.”[1]
[1] Ahmad (3663). Dhaifu kwa mujibu wa Ahmad Shaakir na dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (1894).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 54
Imechapishwa: 16/07/2025
https://firqatunnajia.com/53-kila-mtu-anaweza-kupata-ulimwengu-na-si-dini/