208 – Abu Mas´uud ametuhadithia: Ayyuub bin Khaalid ametukhabarisha, kutoka kwa al-Awzaa´iy, kutoka kwa Ismaa´iyl bin ´Ubaydillaah, kutoka kwa Anas, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Mimi si kutokamani na dunia na dunia haitokamani nami.”[1]

[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (5080).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 54
  • Imechapishwa: 16/07/2025