207 – Muhammad bin ´Aliy bin Hasan bin Shaqiyq ametuhadithia: Baba yangu ametukhabarisha, kutoka kwa Husayn bin Waaqid, kutoka kwa Abuz-Zubayr, kutoka kwa Jaabir, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Nimepokea funguo za hazina ya maisha ya dunia juu ya farasi mwenye madoadoa; Jibriyl ndiye kaniletea.”[1]

[1] Ahmad (14104). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “adh-Dhwa´iyfah” (1730).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 54
  • Imechapishwa: 16/07/2025