51. Dalili ya ishirini na sita kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

53- al-Bukhaariy amepokea kwamba Ibn ´Umar ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Allaah ataikamata ardhi kushotoni Kwake na mbingu zitakuwa kuliani Mwake kisha aseme: “Mimi ndiye Mfalme.”[1]

[1] al-Bukhaariy (7413).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 35
  • Imechapishwa: 14/07/2019