Masimulizi haya pia yamefanana kwa kiasi fulani na jawabu alilojibu Sahl bin ´Abdillaah at-Tustariy (aliyefariki mwaka wa 283) alipoulizwa kuhusu makadirio. Haafidhw al-Laalakaa’iy amesema: Muhammad bin Ibraahiym an-Nujayramiy ametukhabarisha: Abu ´Ubayd Muhammad bin Aliy bin Haydarah ametuhadithia: Abu Haaruun al-Abliy, ambaye pia alikuwa miongoni mwa waliotangamana na Sahl bin ´Abdillaah na alikuwa mtu mwema ambaye alikuwa akitusomea Qur-aan katika msikiti mkuu, ametuhadithia:
“Sahl bin ´Abdillah aliulizwa kuhusu makadirio, ambapo akajibu: “Kuamini makadirio ni wajibu na kuikadhibisha ni ukafiri. Kuzungumza juu yake ni Bid´ah na kuinyamazia ni Sunnah.”[1]
[1] Sharh Usuwl I´tiqaad Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah (4/711).
- Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 71-72
- Imechapishwa: 12/12/2025
Masimulizi haya pia yamefanana kwa kiasi fulani na jawabu alilojibu Sahl bin ´Abdillaah at-Tustariy (aliyefariki mwaka wa 283) alipoulizwa kuhusu makadirio. Haafidhw al-Laalakaa’iy amesema: Muhammad bin Ibraahiym an-Nujayramiy ametukhabarisha: Abu ´Ubayd Muhammad bin Aliy bin Haydarah ametuhadithia: Abu Haaruun al-Abliy, ambaye pia alikuwa miongoni mwa waliotangamana na Sahl bin ´Abdillaah na alikuwa mtu mwema ambaye alikuwa akitusomea Qur-aan katika msikiti mkuu, ametuhadithia:
“Sahl bin ´Abdillah aliulizwa kuhusu makadirio, ambapo akajibu: “Kuamini makadirio ni wajibu na kuikadhibisha ni ukafiri. Kuzungumza juu yake ni Bid´ah na kuinyamazia ni Sunnah.”[1]
[1] Sharh Usuwl I´tiqaad Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah (4/711).
Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 71-72
Imechapishwa: 12/12/2025
https://firqatunnajia.com/50-tamko-la-sahl-at-tustariy-la-masimulizi-ya-maalik/