206 – Abur-Rabiy´ ametuhadithia: Hammaad bin Zayd ametukhabarisha, kutoka kwa Yahyaa bin Sa´iyd, kutoka kwa Muhammad bin Ibraahiym, kutoka kwa ´Alqamah bin Waqqaas, kutoka kwa ´Umar bin al-Khattwaab, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule ambaye nia yake ni kupata dunia au kuoa mwanamke, basi nia yake ni kile alichokihajiria.”[1]

[1] al-Bukhaariy (1) na Muslim (1906).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 54
  • Imechapishwa: 15/07/2025