53. Du´aa ya aliyepatwa na msiba

  Download

154-

إِنّا للهِ وَإِنَا إِلَـيْهِ رَاجِعُـونَ، اللهُـمِّ اْجُـرْني فِي مُصِـيبَتي، وَاخْلُـفْ لِي خَيْـراً مِنْـها

”Hakika sisi ni wa Allaah na hakika sisi Kwake ni wenye kurejea. Ee Allaah! Nilipe kwa msiba wangu na nipe badala yake kwa kilicho bora.”[1]

[1] Muslim (02/632).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020