153-
“Yule ambaye maneno yake ya mwisho yatakuwa ni:
لا إلهَ إلاّ اللّه
”Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah.”
basi ataingia Peponi.”[1]
[1] Abu Daawuud (03/190). Tazama ”Swahiyh-ul-Jaamiy´” (05/432).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 01/05/2020