48- ´Aliy bin ´Abdillaah bin Mubashshir ametuhadthia: Ahmad bin Sinaan al-Qattwaan na Abu Ishaaq Nahshal bin Daarim at-Tamiymiy ametuhadthia: ´Umar bin Shabbah ametuhadthia: Yahyaa bin Sa´iyd al-Qattwaan ametuhadthia, kutoka kwa Ibn ´Ajlaan: Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd amenihadithia, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Atapopiga mmoja wenu, basi ajiepushe na uso. Wala asiseme: “Allaah aukebehi uso wako na uso wa anayefanana na uso wako.” Kwani hakika Allaah (´Azza wa Jall) amemuumba Aadam kwa sura Yake.”
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 97-98
48- ´Aliy bin ´Abdillaah bin Mubashshir ametuhadthia: Ahmad bin Sinaan al-Qattwaan na Abu Ishaaq Nahshal bin Daarim at-Tamiymiy ametuhadthia: ´Umar bin Shabbah ametuhadthia: Yahyaa bin Sa´iyd al-Qattwaan ametuhadthia, kutoka kwa Ibn ´Ajlaan: Sa´iyd bin Abiy Sa´iyd amenihadithia, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Atapopiga mmoja wenu, basi ajiepushe na uso. Wala asiseme: “Allaah aukebehi uso wako na uso wa anayefanana na uso wako.” Kwani hakika Allaah (´Azza wa Jall) amemuumba Aadam kwa sura Yake.”
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 97-98
https://firqatunnajia.com/48-dalili-juu-ya-sura-ya-allaah-3/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)