202 – Abu Bakr ametukhabarisha: Abu Mu´aawiyah ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Shamr, kutoka kwa Mughiyrah bin Sa´d bin al-Akhram, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Msijichukulie mashamba na mkaanza kuyapupia maisha ya duniani.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2328). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (7214).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 51-52
- Imechapishwa: 14/07/2025
202 – Abu Bakr ametukhabarisha: Abu Mu´aawiyah ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Shamr, kutoka kwa Mughiyrah bin Sa´d bin al-Akhram, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Msijichukulie mashamba na mkaanza kuyapupia maisha ya duniani.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2328). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (7214).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 51-52
Imechapishwa: 14/07/2025
https://firqatunnajia.com/46-msianze-kuyapupia-maisha-ya-dunia/