Shaykh-ul-Islaam na Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
رَبِّ الْعَالَمِينَ
“Mola wa walimwengu.”[1]
Mola ni Mwabudiwa, Muumba, Mwenye kuruzuku, Mfalme, Anayeendesha mambo na kuwalea viumbe vyote kwa neema Zake.
الْعَالَمِينَ
“… walimwengu.”
Ni kila kisichokuwa Allaah. Naye ni Mola wa walimwengu.
MAELEZO
Hapa kuna Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah na majina na sifa Zake, kwani Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ni kumpwekesha katika matendo Yake (Subhaaahu wa Ta´ala). Yeye ni Mmoja katika kuumba, kuruzuku, kuhuisha na kufisha. Kwa msemo mwingine ni kwamba hana mshirika katika uola Wake wala hana mshirika katika ´ibaadah Yake. Naye (Subhaaahu wa Ta´ala) anayo majina mazuri na sifa kuu. Katika Aayah hii:
الْحَمْدُ لِلَّـهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
”Himdi zote njema anastahiki Allaah, Mola wa walimwengu.”[2]
kumetajwa majina mawili katika majina ya Allaah ambayo ni ”Allaah” na ”Mola”. Allaah (‘Azza wa Jall) amesema:
سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
“Mola Mwingi wa huruma atawasalimia akisema: “Amani!”[3]
[1] 01:02
[2] 01:01
[3] 36:58
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 52-53
- Imechapishwa: 03/06/2026
Shaykh-ul-Islaam na Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
رَبِّ الْعَالَمِينَ
“Mola wa walimwengu.”[1]
Mola ni Mwabudiwa, Muumba, Mwenye kuruzuku, Mfalme, Anayeendesha mambo na kuwalea viumbe vyote kwa neema Zake.
الْعَالَمِينَ
“… walimwengu.”
Ni kila kisichokuwa Allaah. Naye ni Mola wa walimwengu.
MAELEZO
Hapa kuna Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah na majina na sifa Zake, kwani Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ni kumpwekesha katika matendo Yake (Subhaaahu wa Ta´ala). Yeye ni Mmoja katika kuumba, kuruzuku, kuhuisha na kufisha. Kwa msemo mwingine ni kwamba hana mshirika katika uola Wake wala hana mshirika katika ´ibaadah Yake. Naye (Subhaaahu wa Ta´ala) anayo majina mazuri na sifa kuu. Katika Aayah hii:
الْحَمْدُ لِلَّـهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
”Himdi zote njema anastahiki Allaah, Mola wa walimwengu.”[2]
kumetajwa majina mawili katika majina ya Allaah ambayo ni ”Allaah” na ”Mola”. Allaah (‘Azza wa Jall) amesema:
سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
“Mola Mwingi wa huruma atawasalimia akisema: “Amani!”[3]
[1] 01:02
[2] 01:01
[3] 36:58
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 52-53
Imechapishwa: 03/06/2026
https://firqatunnajia.com/46-maana-ya-mola/