29 – Kulegeza sauti
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na na Shari´ah ni kulegeza sauti katika mazungumzo. Ni mamoja mwanamke anazungumza moja kwa moja na wanaume au kupitia simu, jambo ambalo halijuzu. Amesema (Ta´ala):
فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ
”Msilegeze sauti asije akaingiwa tamaa ambaye moyoni mwake mna maradhi.”[1]
[1] 33:32
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 36
- Imechapishwa: 22/03/2026
29 – Kulegeza sauti
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na na Shari´ah ni kulegeza sauti katika mazungumzo. Ni mamoja mwanamke anazungumza moja kwa moja na wanaume au kupitia simu, jambo ambalo halijuzu. Amesema (Ta´ala):
فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ فَيَطْمَعَ الَّذِي فِي قَلْبِهِ مَرَضٌ
”Msilegeze sauti asije akaingiwa tamaa ambaye moyoni mwake mna maradhi.”[1]
[1] 33:32
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 36
Imechapishwa: 22/03/2026
https://firqatunnajia.com/45-kulegeza-sauti/