48. Du´aa ya kuwakinga watoto

  Download

146-

Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwakinga al-Hasan na al-Husayn (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kwa kuwaombea:

أُعيـذُكُمـا بِكَلِـماتِ اللهِ التّـامَّة، مِنْ كُلِّ شَيْـطانٍ وَهـامَّة، وَمِنْ كُـلِّ عَـيْنٍ لامَّـة

“Nawalinda kwa maneno ya Allaah yaliyokamilika kutokamana na kila shaytwaan na uvamizi na kutokamana na kila jicho lenye kudhuru.”[1]

[1] al-Bukhaariy (04/119) kupitia kwa Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020