42- Abul-Fath Muhammad bin ´Abdil-Baaqiy´ ametukhabarisha: Hamad ametuhadithia: Abu Nu´aym ametuhadithia: Abu ´Amr bin Hamdaan ametuhadithia: al-Hasan bin Sufyaan ametuhadithia: Muhammad bin Yaziyd ar-Rifaa´iy ametuhadithia: Ishaaq bin Sulaymaan ametuhadithia: Abu Ja´far ar-Raaziy ametuhadithia, kutoka kwa ´Aaswim bin Bahdalah, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Wakati Ibraahiym alipotumwa ndani ya moto alisema: “Ee Allaah! Hakika wewe upekee juu ya mbingu na mimi nipekee ninayekuabudu ardhini.”[1]
[1] adh-Dhahabiy amesema:
”Cheni ya wapokezi ni nzuri. Kuna watu wengi wameisimulia kutoka kwa Ishaaq.” (al-´Uluww, uk. 21)
adh-Dhahabiy amesema pia:
”Nzuri.” (Kitaab-ul-´Arsh (50))
- Mhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaatu Swifat-il-´Uluww, uk. 139
- Imechapishwa: 20/06/2018
42- Abul-Fath Muhammad bin ´Abdil-Baaqiy´ ametukhabarisha: Hamad ametuhadithia: Abu Nu´aym ametuhadithia: Abu ´Amr bin Hamdaan ametuhadithia: al-Hasan bin Sufyaan ametuhadithia: Muhammad bin Yaziyd ar-Rifaa´iy ametuhadithia: Ishaaq bin Sulaymaan ametuhadithia: Abu Ja´far ar-Raaziy ametuhadithia, kutoka kwa ´Aaswim bin Bahdalah, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Wakati Ibraahiym alipotumwa ndani ya moto alisema: “Ee Allaah! Hakika wewe upekee juu ya mbingu na mimi nipekee ninayekuabudu ardhini.”[1]
[1] adh-Dhahabiy amesema:
”Cheni ya wapokezi ni nzuri. Kuna watu wengi wameisimulia kutoka kwa Ishaaq.” (al-´Uluww, uk. 21)
adh-Dhahabiy amesema pia:
”Nzuri.” (Kitaab-ul-´Arsh (50))
Mhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaatu Swifat-il-´Uluww, uk. 139
Imechapishwa: 20/06/2018
https://firqatunnajia.com/44-dalili-ya-kwanza-kutoka-kwa-mtume-kwamba-allaah-yuko-juu-ya-viumbe/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)