46- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ardhi siku ya Qiyaamah itakuwa mkate mmoja. Ataigeuzageuza al-Jabbaar kwa mkono Wake kama anavyogeuzageuza mmoja wenu mkate wake safarini.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy na Muslim.
[1] al-Bukhaariy (6520) na Muslim (2792).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 33
- Imechapishwa: 09/07/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket