42 – Thaabit al-Bunaaniy amesimulia:
”Daawuud alikuwa akirefusha swalah, kisha akirukuu, kisha akinyanyua kichwa chake kuelekea mbinguni na akisema: ”Wewe Uliye juu ya mbingu! Nimekiinua kichwa changu kukielekeza Kwako, kama ambavo watumwa wanawatazama mabwana zao, ee Ambaye unaishi juu ya mbingu!”
Cheni ya wapokezi ni njema.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 99
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
42 – Thaabit al-Bunaaniy amesimulia:
”Daawuud alikuwa akirefusha swalah, kisha akirukuu, kisha akinyanyua kichwa chake kuelekea mbinguni na akisema: ”Wewe Uliye juu ya mbingu! Nimekiinua kichwa changu kukielekeza Kwako, kama ambavo watumwa wanawatazama mabwana zao, ee Ambaye unaishi juu ya mbingu!”
Cheni ya wapokezi ni njema.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 99
Imechapishwa: 24/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/43-wewe-uliye-juu-ya-mbingu/