26 – Kuwachukulia poa mashameji
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni mwanamke kuchukulia wepesi katika baadhi ya mambo pamoja na ndugu yake mume (shemeji), kama vile kufanya utani, kusalimiana kwa mikono, kutovaa Hijaab inayokubalika katika Shari´ah na wakati mwingine anakaa naye faragha nyumbani, mambo ambayo hayajuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliulizwa kuhusu shemeji ambapo akasema:
”Shemeji ni kifo.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 34-35
- Imechapishwa: 22/03/2026
26 – Kuwachukulia poa mashameji
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni mwanamke kuchukulia wepesi katika baadhi ya mambo pamoja na ndugu yake mume (shemeji), kama vile kufanya utani, kusalimiana kwa mikono, kutovaa Hijaab inayokubalika katika Shari´ah na wakati mwingine anakaa naye faragha nyumbani, mambo ambayo hayajuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliulizwa kuhusu shemeji ambapo akasema:
”Shemeji ni kifo.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 34-35
Imechapishwa: 22/03/2026
https://firqatunnajia.com/42-kuwachukulia-poa-mashemeji/