Hadiyth hii na zile ambazo zimekataza kusoma nyuma ya imamu, kama mfano wa:

“Yule mwenye imamu, basi kisomo chake ndio kisomo chake.”

na:

“Anaposoma, basi nyamazeni.”

zinaoanishwa kwa kufasiriwa kwamba zinamaanisha kisomo kisichokuwa al-Faatihah.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 49
  • Imechapishwa: 02/06/2026