Masimulizi mengine yanayofahamisha yale yaliyotajwa

91 – Ahmad bin Muhammad bin ´Umar ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal ametuhadithia: Baba yangu amenihadithia: Abu Mu´aawiyah ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdul-Malik bin Abjar, kutoka kwa Thuwayr bin Abiy Faakhitah, kutoka kwa Ibn ´Umar, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Jaabir  (´alayhis-Salaam) alinijia. Mkononi mwake alikuwa amebeba kioo cheupe na doa jeusi. Nikasema: ”Ni nini hii, ee Jibriyl?” Akasema: ”Ni ijumaa… Ndipo Atajidhihirisha kwao Mola wao (´Azza wa Jall) wakitazama uso wa Mola wao.”

Hadiyth ni yenye kutambulika kutoka kwa ´Uthmaan bin ´Umayr.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 100
  • Imechapishwa: 20/10/2026
  • Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy