Masimulizi mengine yanayojulisha kuwa nuru ya mabustani inatokanan na nuru ya uso wa Allaah
90 – ´Abdullaah bin Ibraahiym na Muhammad bin Muhammad wametukhabarisha: Ahmad bin ´Aaswim ametuhadithia: Mu’ammal ametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa az-Zubayr bin ´Abdis-Salaam, kutoka kwa Ayyuub bin ´Abdillaah, kutoka kwa Ibn Mas´uud, ambaye amesema:
”Mola wenu hana usiku wala mchana. Nuru ya mbingu inatokana na nuru ya uso Wake.”
Imepokelewa maana kama hiyo kwa cheni ya wapokezi ilioungana kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ameipokea Wahb bin Jariyr, kutoka kwa Ibn Ishaaq, kutoka kwa Hishaam bin ´Urwah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin Ja´far, ambaye amesema:
”Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipotoka kwenda Twaaif aliomba du´aa kwa kusema:
اللهم إني أعوذ بنور وجهك الذي أضاءت له نور السماوات
”Ee Allaah! Najilinda kwa nuru ya uso Wako ambayo inaangazia nuru ya mbingu.”
Hadiyth hii inafahamisha juu ya maana ya maneno Yake Allaah (Ta´ala):
اللَّـهُ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ
“Allaah ni Nuru ya mbingu na ardhi.”[1]
[1] 24:35
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 100
- Imechapishwa: 20/10/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
Masimulizi mengine yanayojulisha kuwa nuru ya mabustani inatokanan na nuru ya uso wa Allaah
90 – ´Abdullaah bin Ibraahiym na Muhammad bin Muhammad wametukhabarisha: Ahmad bin ´Aaswim ametuhadithia: Mu’ammal ametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa az-Zubayr bin ´Abdis-Salaam, kutoka kwa Ayyuub bin ´Abdillaah, kutoka kwa Ibn Mas´uud, ambaye amesema:
”Mola wenu hana usiku wala mchana. Nuru ya mbingu inatokana na nuru ya uso Wake.”
Imepokelewa maana kama hiyo kwa cheni ya wapokezi ilioungana kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ameipokea Wahb bin Jariyr, kutoka kwa Ibn Ishaaq, kutoka kwa Hishaam bin ´Urwah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin Ja´far, ambaye amesema:
”Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipotoka kwenda Twaaif aliomba du´aa kwa kusema:
اللهم إني أعوذ بنور وجهك الذي أضاءت له نور السماوات
”Ee Allaah! Najilinda kwa nuru ya uso Wako ambayo inaangazia nuru ya mbingu.”
Hadiyth hii inafahamisha juu ya maana ya maneno Yake Allaah (Ta´ala):
اللَّـهُ نُورُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ
“Allaah ni Nuru ya mbingu na ardhi.”[1]
[1] 24:35
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 100
Imechapishwa: 20/10/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/41-kunakotea-nuru-yetu/