25 – Mwanamke kuingia kwa daktari peke yake
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni mwanamke kuingia peke yake kwa daktari wa kiume, jambo ambalo halijuzu. Kwa sababu hilo linahusiana na kukaa faragha ambayo ni haramu. Ni lazima awepo Mahram. Baadhi ya wanawake huchukulia suala hili kwa wepesi. Je, hujui, ee dada yangu wa Kiislamu, ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwanaume yeyote asikae peke yake na mwanamke isipokuwa akiwa na Mahram wake.”[1]?
Hivyo, ni muhimu kuepuka faragha haramu ili kulinda maadili ya Kiislamu.
[1] al-Bukhaariy.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 33
- Imechapishwa: 22/03/2026
25 – Mwanamke kuingia kwa daktari peke yake
Miongoni mwa makosa yanayopingana na Shari´ah ni mwanamke kuingia peke yake kwa daktari wa kiume, jambo ambalo halijuzu. Kwa sababu hilo linahusiana na kukaa faragha ambayo ni haramu. Ni lazima awepo Mahram. Baadhi ya wanawake huchukulia suala hili kwa wepesi. Je, hujui, ee dada yangu wa Kiislamu, ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwanaume yeyote asikae peke yake na mwanamke isipokuwa akiwa na Mahram wake.”[1]?
Hivyo, ni muhimu kuepuka faragha haramu ili kulinda maadili ya Kiislamu.
[1] al-Bukhaariy.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 33
Imechapishwa: 22/03/2026
https://firqatunnajia.com/41-mwanamke-kuingia-kwa-daktari-peke-yake/