44. Kinachosemwa na kufanywa kwa aliyetenda dhambi

  Download

140-

“Hakuna mja yeyote anayetenda dhambi akaweka vizuri wudhuu´ wake, kisha akasimama na kuswali Rak´ah mbili halafu akamuomba Allaah msamaha isipokuwa Allaah husamehe.”[1]

[1] Abu Daawuud (02/86) na at-Tirmidhiy (02/257). Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Abiy Daawuud (01/283).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020