140-
“Hakuna mja yeyote anayetenda dhambi akaweka vizuri wudhuu´ wake, kisha akasimama na kuswali Rak´ah mbili halafu akamuomba Allaah msamaha isipokuwa Allaah husamehe.”[1]
[1] Abu Daawuud (02/86) na at-Tirmidhiy (02/257). Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Abiy Daawuud (01/283).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 29/04/2020