38 – al-Bukhaariy amepokea katika ”as-Swahiyh” yake, chuo kinachowaraddi Jahmiyyah, mlango unaosema: ”Kwake linapanda neno zuri”, ya kwamba Ibn ´Abbaas amesema:

”Wakati Abu Dharr alipofikiwa na khabari ya kutumilizwa kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), alimwambia ndugu yake: ”Nijuze juu ya bwana huyu anayedai kuwa anajiwa na khabari kutoka mbinguni.”[1]

[1] al-Bukhaariy (3861).

  • Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 98
  • Imechapishwa: 24/06/2024
  • Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy