3 – Kondoo. Hakuna zakaah ndani yake mpaka wafikie arobaini. Wakifikia arobaini, inawajibika kondoo mmoja, mpaka wafikie mia moja na ishirini.
Wakizidi mmoja, inawajibika kutoa kondoo wawili mpaka wafikie mia mbili.
Wakizidi mmoja, inawajibika kutoa kondoo watatu.
Kisha katika kila kondoo mia moja, inawajibika kutoa kondoo mmoja.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 36
- Imechapishwa: 25/10/2026
3 – Kondoo. Hakuna zakaah ndani yake mpaka wafikie arobaini. Wakifikia arobaini, inawajibika kondoo mmoja, mpaka wafikie mia moja na ishirini.
Wakizidi mmoja, inawajibika kutoa kondoo wawili mpaka wafikie mia mbili.
Wakizidi mmoja, inawajibika kutoa kondoo watatu.
Kisha katika kila kondoo mia moja, inawajibika kutoa kondoo mmoja.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 36
Imechapishwa: 25/10/2026
https://firqatunnajia.com/40-zakaah-ya-kondoo/