2 – Ng´ombe. Hakuna zakaah ndani yake mpaka wafikie thelathini. Wakifikia thelathini, inawajibika kutoa ng´ombe dume au jike mwenye mwaka mmoja.
Wakifikia arobaini, inawajibika kutoa ng´ombe jike mwenye miaka miwili.
Wakifikia sitini, inawajibika kutoa ng´ombe dume wawili wenye mwaka mmoja.
Wakifikia sabini, inawajibika kutoa ng´ombe dume mmoja mwenye mwaka mmoja na ng´ombe jike mmoja mwenye miaka miwili.
Kisha katika kila ng´ombe thelathini, inawajibika kutoa ng´ombe mmoja mwenye mwaka mmoja. Katika kila ng´ombe arobaini, inawajibika kutoa ng´ombe jike mwenye miaka miwili.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 35-36
- Imechapishwa: 25/10/2026
2 – Ng´ombe. Hakuna zakaah ndani yake mpaka wafikie thelathini. Wakifikia thelathini, inawajibika kutoa ng´ombe dume au jike mwenye mwaka mmoja.
Wakifikia arobaini, inawajibika kutoa ng´ombe jike mwenye miaka miwili.
Wakifikia sitini, inawajibika kutoa ng´ombe dume wawili wenye mwaka mmoja.
Wakifikia sabini, inawajibika kutoa ng´ombe dume mmoja mwenye mwaka mmoja na ng´ombe jike mmoja mwenye miaka miwili.
Kisha katika kila ng´ombe thelathini, inawajibika kutoa ng´ombe mmoja mwenye mwaka mmoja. Katika kila ng´ombe arobaini, inawajibika kutoa ng´ombe jike mwenye miaka miwili.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 35-36
Imechapishwa: 25/10/2026
https://firqatunnajia.com/39-zakaah-ya-ngombe/