40. Ni ´ibaadah ipi ya kwanza iliyowekwa katika Shari´ah mwaka wa kwanza baada ya kuhajiri?

Swali 40: Ni ´ibaadah ipi ya kwanza iliyowekwa katika Shari´ah mwaka wa kwanza baada ya kuhajiri?

Jibu: Waliswali hali ya kuelekea Yerusalemu kwa miezi kumi na saba. Mwaka huohuo kukafarahishwa kupambana jihaad. Tarehe 12 Rabiy´ al-Aakhir swalah zikakamilishwa Rak´ah nne kwa wale ambao ni wakazi na kukawekwa Shari´ah ya kutoa adhaana unapoingia wakati wa swalah.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 107
  • Imechapishwa: 06/10/2023