40- Ka´b al-Ahbaar amesema:
“Allaah hakugusa kitu kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Amemuumba Aadam kwa mkono Wake, ameiandika Tawraat kwa mkono Wake na ameyapanda mabustani ya Edeni kwa mkono Wake.”[1]
[1] ar-Radd ´alaa Bishr al-Mariysiy, uk. 35.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 30-31
- Imechapishwa: 08/07/2019
40- Ka´b al-Ahbaar amesema:
“Allaah hakugusa kitu kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Amemuumba Aadam kwa mkono Wake, ameiandika Tawraat kwa mkono Wake na ameyapanda mabustani ya Edeni kwa mkono Wake.”[1]
[1] ar-Radd ´alaa Bishr al-Mariysiy, uk. 35.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 30-31
Imechapishwa: 08/07/2019
https://firqatunnajia.com/39-maneno-ya-kab-al-ahbaar-kuhusu-mikono-ya-allaah/