186 – Abu Bakr ametuhadithia: Yahyaa bin Ya´laa ametukhabarisha, kutoka kwa Humayd bin ´Atwaa’, kutoka kwa ´Abdullaah bin al-Haarith, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Inashangaza jinsi mtu anaweza kuwa menye kughafilika lakini si mwenye kughafilishwa. Inashangaza jinsi mtu anavyoitafuta dunia ilihali kifo kinamtafuta. Inashangaza jinsi mtu anavyocheka bila ya yeye kujua kama Allaah amemridhia au amemkasirikia.”[1]
[1] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (3680).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 47-48
- Imechapishwa: 13/07/2025
186 – Abu Bakr ametuhadithia: Yahyaa bin Ya´laa ametukhabarisha, kutoka kwa Humayd bin ´Atwaa’, kutoka kwa ´Abdullaah bin al-Haarith, kutoka kwa ´Abdullaah bin Mas´uud, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Inashangaza jinsi mtu anaweza kuwa menye kughafilika lakini si mwenye kughafilishwa. Inashangaza jinsi mtu anavyoitafuta dunia ilihali kifo kinamtafuta. Inashangaza jinsi mtu anavyocheka bila ya yeye kujua kama Allaah amemridhia au amemkasirikia.”[1]
[1] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (3680).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 47-48
Imechapishwa: 13/07/2025
https://firqatunnajia.com/39-hali-ya-kushangaza-ya-mwanadamu/