39- Muhammad bin Makhlad ametuhadithia: Muhammad bin al-Hassaaniy ametuhadithia: Wakiy´ ametuhadithia: Sufyaan ametuhadithia, kutoka kwa ´Ammaar ad-Duhniy, kutoka kwa Muslim al-Batwiyn, kutoka kwa Sa´iyd bin Jubayr, kutoka kwa Ibn ´Abbaas ambaye amesema:
وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ
“Kursiy Yake imeenea mbingu na ardhi.”[1]
“Kursiy ni pale mahala pa kuwekea miguu miwili na hakuna chochote kiwezacho kuikadiria ´Arshiy isipokuwa Allaah pekee.”
[1] 02:255
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 81-83
- Imechapishwa: 03/03/2018
39- Muhammad bin Makhlad ametuhadithia: Muhammad bin al-Hassaaniy ametuhadithia: Wakiy´ ametuhadithia: Sufyaan ametuhadithia, kutoka kwa ´Ammaar ad-Duhniy, kutoka kwa Muslim al-Batwiyn, kutoka kwa Sa´iyd bin Jubayr, kutoka kwa Ibn ´Abbaas ambaye amesema:
وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ
“Kursiy Yake imeenea mbingu na ardhi.”[1]
“Kursiy ni pale mahala pa kuwekea miguu miwili na hakuna chochote kiwezacho kuikadiria ´Arshiy isipokuwa Allaah pekee.”
[1] 02:255
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 81-83
Imechapishwa: 03/03/2018
https://firqatunnajia.com/39-dalili-juu-ya-kursiy-ya-allaah-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)