37 – Salmaan al-Faarisiy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah ni Mwenye hayaa na mkarimu. Anamuonea hayaa mja Wake pindi anapomuinulia mikono akimuomba kuirudisha mitupu ikiwa haina chochote.”[1]
Hadiyth hii ni yenye kutambulika na ameisimulia ´Aliy bin Abiy Twaalib, Ibn ´Umar, Anas na wengineo.
[1] Hadiyth ni Swahiyh. Inapatikana katika “al-Mishkaat” (2244), “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (133) na “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2/273).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 97-98
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
37 – Salmaan al-Faarisiy (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah ni Mwenye hayaa na mkarimu. Anamuonea hayaa mja Wake pindi anapomuinulia mikono akimuomba kuirudisha mitupu ikiwa haina chochote.”[1]
Hadiyth hii ni yenye kutambulika na ameisimulia ´Aliy bin Abiy Twaalib, Ibn ´Umar, Anas na wengineo.
[1] Hadiyth ni Swahiyh. Inapatikana katika “al-Mishkaat” (2244), “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (133) na “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2/273).
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 97-98
Imechapishwa: 24/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/39-allaah-ni-mwenye-hayaa-na-mkarimu/