Swali: Ni ipi hukumu ya kusema “Yaliyobaki yote yako katika maisha yako” wakati wa kutoa rambirambi? Ni ipi hukumu ya wafiwa nao kujibu “Maisha yako yenye kubaki”?
Jibu: Sioni kikwazo, lakini bora ni kusema:
اصبر و احتسب، فإن لله ما أخذ، و له ما أبقى، و كل شيء عنده بأجل مسمى
“Subirini na tarajieni malipo kutoka kwa Allaah. Ni Chake Allaah alichokitwaa na Yeye Chake alichokibakiza na kila kitu Kwake kina muda maalum.”
Kwa hiyo bora ni kuchunga zile du´aa za kinabii, ni mamoja inapokuja katika kutoa mkono wa pole na mengineyo. Ikiwa mwenye kutoa tanzia atabadilisha matamshi hayo jawabu pia litabadilika.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (17/452)
- Imechapishwa: 29/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kusema “Yaliyobaki yote yako katika maisha yako” wakati wa kutoa rambirambi? Ni ipi hukumu ya wafiwa nao kujibu “Maisha yako yenye kubaki”?
Jibu: Sioni kikwazo, lakini bora ni kusema:
اصبر و احتسب، فإن لله ما أخذ، و له ما أبقى، و كل شيء عنده بأجل مسمى
“Subirini na tarajieni malipo kutoka kwa Allaah. Ni Chake Allaah alichokitwaa na Yeye Chake alichokibakiza na kila kitu Kwake kina muda maalum.”
Kwa hiyo bora ni kuchunga zile du´aa za kinabii, ni mamoja inapokuja katika kutoa mkono wa pole na mengineyo. Ikiwa mwenye kutoa tanzia atabadilisha matamshi hayo jawabu pia litabadilika.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (17/452)
Imechapishwa: 29/05/2026
https://firqatunnajia.com/388-ni-ipi-hukumu-ya-kusema-yaliyobaki-yote-yako-katika-maisha-yako-wakati-wa-kutoa-rambirambi/