Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya makaburi ya kifamilia?
Jibu: Haina neno. Hata hivyo kunakhofiwa watu wote wakajifanyia kujenga mfano wa sehemu za makaburi kama hayo na wakaanza mafakhirisho. Kwa hivyo inatakiwa kwa watawala kukataza jambo hilo na wakafanye makaburi ni ya waislamu wote ambayo wanaweza kuzikwa waislamu wote. Daima makaburi ya waislamu walikuwa namna hiyo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/445-446)
- Imechapishwa: 30/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya makaburi ya kifamilia?
Jibu: Haina neno. Hata hivyo kunakhofiwa watu wote wakajifanyia kujenga mfano wa sehemu za makaburi kama hayo na wakaanza mafakhirisho. Kwa hivyo inatakiwa kwa watawala kukataza jambo hilo na wakafanye makaburi ni ya waislamu wote ambayo wanaweza kuzikwa waislamu wote. Daima makaburi ya waislamu walikuwa namna hiyo.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/445-446)
Imechapishwa: 30/05/2026
https://firqatunnajia.com/382-ni-ipi-hukumu-ya-kufanya-makaburi-ya-kifamilia/