Swali: Je, ni sahihi kwamba mtu anapozikwa anajiliwa na mwanamke wa Peponi?
Jibu: Si sahihi. Sahihi ni kwamba mtu anapolazwa ndani ya kaburi anajiwa na Malaika wawili na kumtahini. Akijibu sahihi anapanuliwa kaburi lake sawa na upeo wa macho yake ambapo anajiliwa na starehe na rehema za Peponi. Wakati anapokuwa ndani ya kaburi anajiliwa na matendo yake mema, yakiwa na umbile zuri kabisa, na yanabaki kwake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/443)
- Imechapishwa: 30/05/2026
Swali: Je, ni sahihi kwamba mtu anapozikwa anajiliwa na mwanamke wa Peponi?
Jibu: Si sahihi. Sahihi ni kwamba mtu anapolazwa ndani ya kaburi anajiwa na Malaika wawili na kumtahini. Akijibu sahihi anapanuliwa kaburi lake sawa na upeo wa macho yake ambapo anajiliwa na starehe na rehema za Peponi. Wakati anapokuwa ndani ya kaburi anajiliwa na matendo yake mema, yakiwa na umbile zuri kabisa, na yanabaki kwake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/443)
Imechapishwa: 30/05/2026
https://firqatunnajia.com/378-je-maiti-anapozikwa-hujiliwa-na-mwanamke-wa-peponi/