38. Wakati roho inapofika katika mbingu ya saba

36 – al-Baraa´ (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia namna walivyotoka pamoja na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika mazishi, akasema kuhusu roho:

”… mpaka ikafika katika mbingu ya saba. Ndipo Allaah (Ta´ala) aseme: ”Irudisheni.”[1]

Cheni ya wapokezi ni nzuri.

[1] Imekaguliwa katika “Ahkaam-ul-Janaa-iz”.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 97
  • Imechapishwa: 24/06/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy