185 – Muhammad bin Abiy Bakr al-Maqdamiy ametuhadithia: Muhammad bin ´Abdir-Rahmaan at-Twafaawiy ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Mujaahid, kutoka kwa Ibn ´Umar, ambaye amesema:

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alinishika na kusema: “Kuwa duniani kama kwamba wewe ni mgeni au mpita njia.”[1]

[1] al-Bukhaariy (6416), at-Tirmidhiy (2333) na Ibn Maajah (4114).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 47
  • Imechapishwa: 09/07/2025