184 – Abu Bakr ametukhabarisha: ´Affaan ametukhabarisha: Hammaad bin Salamah ametukhabarisha: Abu Ja´far al-Khutwamiy ametukhabarisha, kutoka kwa Muhammad bin Ka´b, kutoka kwa ´Abdullaah bin Yaziyd al-Khutwamiy, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Ulimwengu umekujieni.”[1]

Kwa maana umekufikieni.

[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “as-Swahiyhah” (2384).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 47
  • Imechapishwa: 09/07/2025