38- ´Awf al-A´raabiy amesimulia Wardaan Abu Khaalid amesema:
“Allaah amemuumba Aadam kwa mkono Wake, akamuumba Jibriyl kwa mkono Wake, akaiumba ´Arshi kwa mkono Wake, akaiumba kalamu kwa mkono Wake na akaandika kitabu kilichoko Kwake kwa mkono Wake.”[1]
[1] as-Sunnah (583) ya Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal.
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 30
- Imechapishwa: 04/07/2019
38- ´Awf al-A´raabiy amesimulia Wardaan Abu Khaalid amesema:
“Allaah amemuumba Aadam kwa mkono Wake, akamuumba Jibriyl kwa mkono Wake, akaiumba ´Arshi kwa mkono Wake, akaiumba kalamu kwa mkono Wake na akaandika kitabu kilichoko Kwake kwa mkono Wake.”[1]
[1] as-Sunnah (583) ya Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal.
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 30
Imechapishwa: 04/07/2019
https://firqatunnajia.com/37-maneno-ya-ibn-wardaan-kuhusu-mikono-ya-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)