35 – ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:
”Allaah ameweka maji juu ya mbingu ya saba na akaweka ´Arshi juu ya maji. Naapa kwa Ambaye nafsi yangu iko mkononi Mwake! Mwezi na jua vinajua kuwa vitaingia Motoni siku ya Qiyaamah.”
Haya ni maneno ya Swahabah.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 61-62
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket