وكُلُّ شَيْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُ
“Kila kitu ni chenye kuangamia isipokuwa uso Wake.”[1]
وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ
“Na utabakia uso wa Mola Wako wenye utukufu na wenye ukarimu.”[2]
Kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumethibiti masimulizi yanayojulisha juu ya kuthibiti jambo hilo
82 – ´Abdur-Rahmaan bin Yahyaa bin Mandah ametukhabarisha: Ismaa´iyl bin ´Abdillaah bin Mas´uud ametuhadithia: Abu Nu´aym na ´Amr bin ´Awn wametuhadithia: al-Haarith bin ´Ubayd Abu Qudaamah ametuhadithia, kutoka kwa Abu ´Imraan al-Juuniy, kutoka kwa Abu Bakr bin ´Abdillaah bin Qays, kutoka kwa baba yake, ambaye ameleeza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mabustani ya Peponi ni manne. Mabustani mawili, mapambo yake, vyombo vyake na vyote vilivyomo ndani yake, vinatokana na dhahabu. Mabustani mawili, mapambo yake, vyombo vyake na vyote vilivyomo ndani yake, vinatokana na fedha. Hakuna kilicho baina ya watu hao na kumwangalia Mola wao isipokuwa vazi la kiburi ndani ya Pepo ya Edeni. Mabustani haya yanatoka katika mabustani ya Edeni kisha kisha yanapasua mito mbalimbali.”[3]
[1] 28:88
[2] 55:27
[3] al-Bukhaariy (4879) na Muslim (180).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 94
- Imechapishwa: 18/10/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
وكُلُّ شَيْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُ
“Kila kitu ni chenye kuangamia isipokuwa uso Wake.”[1]
وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ
“Na utabakia uso wa Mola Wako wenye utukufu na wenye ukarimu.”[2]
Kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumethibiti masimulizi yanayojulisha juu ya kuthibiti jambo hilo
82 – ´Abdur-Rahmaan bin Yahyaa bin Mandah ametukhabarisha: Ismaa´iyl bin ´Abdillaah bin Mas´uud ametuhadithia: Abu Nu´aym na ´Amr bin ´Awn wametuhadithia: al-Haarith bin ´Ubayd Abu Qudaamah ametuhadithia, kutoka kwa Abu ´Imraan al-Juuniy, kutoka kwa Abu Bakr bin ´Abdillaah bin Qays, kutoka kwa baba yake, ambaye ameleeza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mabustani ya Peponi ni manne. Mabustani mawili, mapambo yake, vyombo vyake na vyote vilivyomo ndani yake, vinatokana na dhahabu. Mabustani mawili, mapambo yake, vyombo vyake na vyote vilivyomo ndani yake, vinatokana na fedha. Hakuna kilicho baina ya watu hao na kumwangalia Mola wao isipokuwa vazi la kiburi ndani ya Pepo ya Edeni. Mabustani haya yanatoka katika mabustani ya Edeni kisha kisha yanapasua mito mbalimbali.”[3]
[1] 28:88
[2] 55:27
[3] al-Bukhaariy (4879) na Muslim (180).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 94
Imechapishwa: 18/10/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/37-kitu-pekee-kinachowazuia-watu-kumuona-allaah/