79 – Abu ´Umar, mtumwa wa Banuu Hishaam aliyeachwa huru, ametukhabarisha: Abu Umayyah at-Twarsuusiy ametuhadithia: ´Ubaydullaah bin Muusa ametuhadithia: Shaybaan ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Unene wa ngozi ya kafiri utakuwa ni dhiraa arobaini na mbili za dhiraa ya al-Jabbaar, na jino la shavu lake litakuwa kama Uhud.”[1]
80 – Ahmad bin Muhammad bin Ziyaad na Muhammad bin Ya´quub bin Yuusuf wametukhabarisha: al-Hasan bin ´Aliy bin ´Affaan ametuhadithia: ´Abdullaah bin Numayr ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye ameleeza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah amesema: “Mimi niko vile mja Wangu anavyonidhania na Mimi ni pamoja Naye anaponitaja. Akinitaja kwenye nafsi yake Nami namtaja kwenye nafsi Yangu, akinitaja katika kundi, Nami namtaja katika kundi ambalo ni bora kuliko wao, akijikurubisha Kwangu paa moja Nami najikurubisha kwake dhiraa, akijikurubisha Kwangu dhiraa Nami najikurubisha kwake kwa kiasi cha kunyoosha mkono hadi kati ya kifuwa na akinijia kwa mwendo mdogo basi Mimi nitamjia kwa kuchapuka.”[2]
81 – Ahmad bin Muhammad bin ´Umar ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal ametuhadithia: Baba yangu ametuhadithia: Abul-Yamaan ametuhadithia: Ibn ´Ayyaash ametuhadithia, kutoka kwa Umm ´Abdillaah bint Khaalid bin Ma´daan, kutoka kwa baba yake, ambaye amesema:
”Harufu ya Pepo inaenea vuli arobaini na vuli moja ni sawa na mkono wa Allaah (´Azza wa Jall).”
[1] al-Haakim (4/595), ambaye ameisahihisha kwa mujibu wa sharti za al-Bukhaariy na Muslim na adh-Dhahabiy akaafikiana naye.
[2] al-Bukhaariy (7405) na Muslim (2675).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 92-93
- Imechapishwa: 18/10/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
79 – Abu ´Umar, mtumwa wa Banuu Hishaam aliyeachwa huru, ametukhabarisha: Abu Umayyah at-Twarsuusiy ametuhadithia: ´Ubaydullaah bin Muusa ametuhadithia: Shaybaan ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Unene wa ngozi ya kafiri utakuwa ni dhiraa arobaini na mbili za dhiraa ya al-Jabbaar, na jino la shavu lake litakuwa kama Uhud.”[1]
80 – Ahmad bin Muhammad bin Ziyaad na Muhammad bin Ya´quub bin Yuusuf wametukhabarisha: al-Hasan bin ´Aliy bin ´Affaan ametuhadithia: ´Abdullaah bin Numayr ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye ameleeza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah amesema: “Mimi niko vile mja Wangu anavyonidhania na Mimi ni pamoja Naye anaponitaja. Akinitaja kwenye nafsi yake Nami namtaja kwenye nafsi Yangu, akinitaja katika kundi, Nami namtaja katika kundi ambalo ni bora kuliko wao, akijikurubisha Kwangu paa moja Nami najikurubisha kwake dhiraa, akijikurubisha Kwangu dhiraa Nami najikurubisha kwake kwa kiasi cha kunyoosha mkono hadi kati ya kifuwa na akinijia kwa mwendo mdogo basi Mimi nitamjia kwa kuchapuka.”[2]
81 – Ahmad bin Muhammad bin ´Umar ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal ametuhadithia: Baba yangu ametuhadithia: Abul-Yamaan ametuhadithia: Ibn ´Ayyaash ametuhadithia, kutoka kwa Umm ´Abdillaah bint Khaalid bin Ma´daan, kutoka kwa baba yake, ambaye amesema:
”Harufu ya Pepo inaenea vuli arobaini na vuli moja ni sawa na mkono wa Allaah (´Azza wa Jall).”
[1] al-Haakim (4/595), ambaye ameisahihisha kwa mujibu wa sharti za al-Bukhaariy na Muslim na adh-Dhahabiy akaafikiana naye.
[2] al-Bukhaariy (7405) na Muslim (2675).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 92-93
Imechapishwa: 18/10/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/36-jino-la-shavu-kama-uhud/