Masimulizi mengine yanayofahamisha yaliyotangulia
76 – Muhammad bin al-Husayn al-Qattwaan ametukhabarisha huko Neyshabur: Ahmad bin Yuusuf as-Sulamiy ametuhadithia… (ح) ´Abdur-Rahmaan bin Yahyaa na ´Abdullaah bin Ibraahiym wametuzindua: Abu Mas´uud ar-Raaziy ametuhadithia: ´Abdur-Razzaaq ametuzindua, kutoka kwa Ma´mar, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka kwa ´Urwah, kutoka kwa ´Aaishah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Malaika wameumbwa kutokana na nuru, majini wameumbwa kutokana na moto na wana wa Aadam wameumbwa kutokana na kile mlichoelezwa.”[1]
Hadiyth hii imethibiti kwa maafikiano.
77 – Muhammad bin al-Husayn al-Qattwaan ametukhabarisha: Abul-Azhar an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Swadaqah bin Saabiq ametuhadithia: Nilimsomea Muhammad bin Ishaaq: Hishaam bin ´Urwah amenihadithia, kutoka kwa baba yake, ambaye amesimulia kuwa amemsikia ´Abdullaah bin ´Amr akisema:
”Malaika aliwaumba Malaika kisha akasema: ”Muwe milioni mbili katika nyinyi.” Wakawa hivo. Hakika miongoni mwa Malaika wako viumbe ambao ni wadogo kuliko wadudu mchungu.”
Wengine wakaongeza:
”Akawaumba kutokana na nuru ya dhiraa na kifua.”[2]
78 – Ahmad bin Muhammad bin ´Umar ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal ametuhadithia: Shurayh bin Yuunus ametuhadithia: Abu Khaalid al-Ahmar ametuhadithia, kutoka kwa Hishaam bin ´Urwah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, aliyesema:
”Hakuna kitu kilicho kingi kama Malaika. Kwani Allaah amewaumba kutokana na nuru.”
Shurayh akaashiria kwa mkono wake kwenye kifua chake. Abu Khaalid aliashiria kwenye kifua chake.
´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal amesema: Baba yangu amenihadithia: Abu Usaamah ametuhadithia, kutoka kwa Hishaam, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, ambaye amesema:
”Malaika wameumbwa kutokana na nuru ya dhiraa na kifua.”[3]
[1] Muslim (8/226), Ibn Hibbaan (8/9/6122), Ibn Mandah katika ”at-Tawhiyd” (1/32), as-Sahmiy katika ”Taariykh Jurjaan” (62), al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat”, uk. 266, na Ibn ´Asaakir (1/310/2) kupitia kwa az-Zuhriy, kutoka kwa Ibn-uz-Zubayr, kutoka kwa ´Aaishah.
[2] al-Bayhaqiy, uk. 343, ambaye ameashiria kwamba ni katika masimulizi ya kiisraeli.
[3] as-Sunnah, uk. 151.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 78-79
- Imechapishwa: 18/10/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy

Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 78-79
Imechapishwa: 18/10/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/35-hivo-ndivo-walivyoumbwa-malaika/