04. Du´aa ya kuvaa nguo mpya

  Download06-

اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ، أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْرِ مَا صُنِعَ لَهُ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهِ وَشَرِّ مَا صُنِعَ لَهُ

“Ee Allaah! Himdi zote njema ni Zako, Wewe ndiye uliyenivisha. Ninakuomba katika kheri zake na kheri iliyotengenezewa na najilinda Kwako na shari zake na shari iliyotengenezewa.”[1]

[1] Abu Daawuud (4020), at-Tirmidhiy (1767), al-Baghawiy (12/40). Tazama “Mukhtaswar Shamaa-il at-Tirmidhiy” (1767) ya al-Albaaniy, uk. 47.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 23/06/2018